Tarehe ya kufunga 14/10/2024
Electonic Media Network (M-Net), kitengo cha maudhui cha MultiChoice Group, kimeendelea kuwapatia watazamaji burudani ya hali ya juu zaidi kwa njia ya video kwa zaidi ya miaka 30.
Chaneli za M-Net zinatoa maudhui ya kuvutia na kusisimua, zikichanganya vipindi halisi vya Kiafrika pamoja na filamu na thamthilia bora za kimataifa.
Tunajitahidi kila mara kukuza tasnia ya filamu na televisheni kwa kuendeleza vipaji mbele ya kamera na nyuma yake, huku tukisukuma uzinduzi wa taaluma za kitaifa na kimataifa.
Maisha Magic Bongo ni chaneli ya burudani inayopatikana kwenye DStv kupitia chaneli 160, chini ya mwavuli wa M-Net. Tumejikita katika kutoa simulizi za video zinazowakilisha uhalisia wa maisha ya Kitanzania, kwa kuzingatia mpangilio wa kijamii na kifamilia. Lugha inayotumika kwa kiasi kikubwa ni Kiswahili, huku Kiingereza kikitumika kwa nadra.
Muhtasari: Kile Tunachotafuta
Maisha Magic Bongo tunatafuta ‘Telenovela’ ya kiwango cha juu kupitia mfumo wa Commissioning, inayolenga Watanzania wa maisha ya kati. Telenovela hii inapaswa kuwa halisi, rahisi kueleweka, ya kipekee, na yenye wahusika wanaovutia. Aidha, inapaswa kuzingatia maadili pamoja na kuheshimu mila na desturi za Kitanzania.
Editorial Guide:
Mawazo halisi yanapaswa kuwa tofauti na yanayoendana na maisha ya kila siku ya watazamaji wetu, huku yakileta hamasa mpya na ugunduzi kupitia simulizi zenye mvuto na mpangilio mzuri wa wahusika.: Wazo liwe na mashiko na la kuvutia watazamaji. Pia mpangilio wa hadithi ukamate hisia za watazamaji haswa.
Yanayohitajika katika Pendekezo lako
Mawasilisho
Mawasilisho yote lazima yawasilishwe kwenye mfumo wa Power Point presentation, yenye kurasa zisizo zidi 15 kupitia linki hapa chini
Mawasilisho yote yatakayo letwa kwa mfumo wa Baarua pepe au kupelekwa ofisini HAYATAKUBALIKA
Ufundi na ufanisi unaozingatiwa na Maisha Magic Bongo utatolewa katika makubaliano ya uaandaji.
Maisha Magic Bongo ndiyo yenye mamlaka ya mwisho katika ubora na ufanisi wa vipindi vyote vilivyotengenezwa kupitia mfumo wa Commissioned.
N.B: Usipofanikisha kuambataisha nyaraka zote hapo juu, pendekezo lako halitapokelewa.
Mchakato wa Uteuzi:
Taratibu zetu za uchaguzi zitachukua sio chini ya wiki nane
Kama hautapata ujumbe wowote kutoka kwetu ndani ya siku 90 baada ya kuwasilisha pendekezo lako, ujue kwamba haukufanikiwa
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Electronic Media Network (M-Net), a content division of the MultiChoice Group, has brought audiences the very best in video entertainment for over 30 years. M-Net’s channels are a source of compelling and captivating content, offering a mix of authentic African programmes and the best international movies and series. We continuously strive to grow the film and TV industry by developing talent in front of, and behind the camera, and propel the launch of local and international careers.
Maisha Magic Bongo is a general entertainment channel, available on DStv channel 160 created by M-Net. Maisha Magic Bongo is committed to visual storytelling that communicates an authentic and relatable Tanzanian experience. Its programming is community and family oriented.
The language used on the Channel is Swahili and minimal English.
BRIEF : What we are looking for?
Maisha Magic Bongo is seeking to Commission a High-End Telenovela show (260 eps x 26min) targeting Tanzanian middle-class families. The Telenovela should be original, authentic, simple, light-hearted, unique, relevant, and sensitive to Tanzanian cultural and societal norms.
Editorial Guide:
Original concepts should be unique, reflective of our audience’s daily lives and experiences while taking an exciting new and innovative angle with well plotted storylines and rounded characters. Concepts should have over-arching episodes. The tone should be gripping fun and entertaining. The storylines and pace must have nail-biting tension that will keep the audience glued to the TV screen.
Proposal Requirements:
All the requirements must be uploaded in one power point presentation deck which has a maximum of 15 slides on the link below
Please note that submissions emailed or dropped at our office will NOT be accepted.
Technical and editorial standards required by Maisha Magic Bongo will be set out in the production agreement.
Maisha Magic Bongo will have the final editorial and creative control over all aspects of Commissioned Programming.
N.B: Failure to submit any of the above documents will lead to disqualification.
The Evaluation/Selection Process
Our selection process will take approximately 8 weeks.
If you don’t hear from us within 90 days after submissions deadline, consider your application unsuccessful.