Maisha Magic Bongo kanuni na masharti

Kuwasilishwa kusikoulizwa – Sheria na Masharti

 1. Nawakilisha na kuthibitisha kwamba mimi ndiye muumbaji na mwenye wa hili pendekezo na nina uwezo wa kuliwasilisha kwa M-Net ili walizingatie.
 2. Ninakiri kwamba M-Net inapokea maoni ya mawazo, miundo, hadithi, mapendekezo, na kazi zingine ambazo zaweza kufanana na pendekezo langu na inawezekana kuwa tayari ina zingatia mawazo ambayo ni sawa au kufanana na pendekezo langu. Kwa hivyo naelewa na kukubali kwamba mimi sitakuwa na haki ya kulipwa fidia yoyote itapokuwa M-Net hatimaye itatoa kazi sawa na pendekezo langu.
 3. Isipokuwa pale M-Net itakapokubali vinginevyo kwa njia ya barua, na kazi yoyote nitakayo tumwa kwa M-Net haitakuwa siri. Na ipasavyo nakubali kwamba:
  1. Hiyo kazi haitakuwa siri kwa upande wa M-Net;
  2. Hakuna uhusiano wa siri au maadili kwa lengo au kuundwa baina yangu na M-Net kwa nijia yoyote.
  3. Sina matumaini ya kuzingatiwa, fidia au kukubaliwa kivyovyote.
 4. Kwa M-Net kupokea mawazo na kazi yangu ambayo haikuuliza siyo kumaanisha kukubali kwa M-Net kuwa ni mpya, kipaumbele au asili na haikomeshi haki ya M-Net kugombea haki zilizopo au za baadaye za milki inayohusikana na pendekezo langu. Zaidi ya hayo, kwa kukubali pendekezo langu, M-Net haitakuwa na kuathiri haki ya milki ya biashara au nyigineyo amabayo tayari iko nayo au ambayo itajaribu kudai katika siku zijazo.
 5. M-Net iko na haki ya kufuta pendekezo lolote ambalo, kwa hiari yake pekee, inaona kwamba linakera, linakashifu, linabagua au liko kinyume cha sharia au vinginevyo linakiuka haki yoyote ya kundi lolote.
 6. Kwa hivyo mimi naondolea M-Net wajibu wote au dhima yeyote kwa uharibifu wowote, hasara, kuumia au kukatika kwa tamaa yangu kutokana na kuwasilisha pendekezo langu.
 7. M-Net haitokubali wajibu wowote kutokana na shida, ufundi ulemavu wa mfumo wowote utakaoshiriki katika kuwasilisha pendekezo hili (hii itakuwa pamoja lakini sio kamili, na mtandao wa simu, mifumo ya kompyuta au vifaa vya kompyuta, watoa mfumo, kushindwa kwa programu au msongamano kwenye mtando, simu au tovuti yoyote)

Submit an Idea