To submit your idea, please complete all the fields below.
(Kwa watoaji huduma walio Afrika Kusini pekee)
Tafadhali soma na kukubali: MNET inapokea mawasilisho mengi ya vipindi vay televisheni yanayofanana na mawazo ya wasilisho yako, pia chaneli yenyewe inaweza kuwa inajitayarisha maudhui yanayofanana na wasilisho lako. Mzalishaji wetu mkuu anakubali kwamba maudhui yako yanaweza kufanana na mawasilisho au maudhui MNET imetoa kwa sasa au hapo awali.